Wednesday, August 29, 2007

Mrembo wa Nigeria, mwanamuzi Wazekwa waja Tanzania

MREMBO wa dunia wa mwaka 2001, Agbani Darego kutoka Nigeria na mwanamuziki maarufu Felix Wazekwa kutoka Jamhuri ya Congo wametua jana jijini Dar es Salaam tayari kwa shindano la kumsaka Vodacom Miss Tanzania mwaka huu litakalofanyika Jumamosi, Septemba Mosi.

Shindano hilo litafanyika katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.





No comments: