Monday, September 03, 2007

Besta kwenye Fiesta ya wana wa idodomya


Msanii wa bongofleva Besta a.k.a Shakila wetu wa Bongo kama ambavyo baadhi ya wakazi wa Dodoma walivyompachika jina hilo ati kutokana na kujiachia sana mauno, alizikonga nyoyo za wana idodomya vilivyo. Kutoka http://michuzijr.blogspot.com/

Shangweka ilikuwa ya kufa mtu ndani ya ukumbi wa Jamhuri Dodoma, kila wakati mikono haikusita kuwekwa hewani mara wakunwapo na masanii yeyote aliyepanda jukwaani.


No comments: