Saturday, September 01, 2007

Neema ya Taifa Stars na Muhidin Issa Michuzi

Wadau wengi wametumia ubunifu kutengeneza mekandazi za timu ya taifa na kupata faida kubwa siku ya mechi kama ya leo. Hiyo skafu alfu tano, bendera jero na kofia tembo.

Kutoka kwenye: http://issamichuzi.blogspot.com/


No comments: