Saturday, September 01, 2007

Huyu ni shabiki nambari one wa soka


Huyu ni shabiki nambari one wa soka nchini Tanzania.
Mzee Magoma Moto akihamasiha watu kuishangilia
timu ya taifa Taifa Stars Septembe 8
itakapochuana na Msumbiji jijini Dar es Salaam.


No comments: