Thursday, October 25, 2007




From: ..............@bredband.net
To: list@tanzanet.org
Date: Thursday, 25 Oct 2007 21:57:37 +0200 forwarded to TANZANET
Subject: Re: [tanzanet] Fw...Mjue Dr. Slaa



MJUE DR.WILBROAD SLAA KAMA ANAVYOCHAMBULIWA KUPITIA UJUMBE UNAOSAMBAZWA NA VIONGOZI WA JUU WA CHADEMA, FREEMAN MBOWE NA ZITTO KABWE.


  • Mpaka sasa Slaa hana nyumba huko Karatu na badala yake hulala kwa rafiki yake ambaye inadaiwa kuwa ni shoga.

  • Tangu mwaka 1977 hadi 1991, SLAA alikuwa Padre wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbulu. Aliachishwa Upadre baada ya kukosa uaminifu na kuendekeza tabia ya ufuska na wake za waumini. Hali hiyo ilimpelekea kupata watoto wawili wakati akiendelea kutoa huduma za kiroho.Watoto hao ni EMILIANA aliyezaliwa 18/06/1987 na LINUS aliyezaliwa 23/09/1988.

  • Dr. SLAA alimuoa ROSE, mmoja wa waumini wake mwaka 1991 ndipo kanisa likamfukuza Upadri. Wakati huo ROSE alikuwa mchumba wa mweka hazina wa Kanisa ambaye miaka michache baadaye alikufa kutokana na mfadhaiko.

  • Uchunguzi umeonesha kwamba, Dr. SLAA ni fuska aliyebobea, na anayo tabia ya kufanya mapenzi na wake wa marafiki zake hata baada ya kuoa. Kwa mfano Diwani wa Kata ya Baray wilayani Karatu LAZARO TITUS MASSAY (CHADEMA) aliwahi kupeleka malalamiko katika uongozi wa juu wa CHADEMA kuhusu tabia ya SLAA ya kufanya mapenzi na wake za watu wakiwemo hata wake za Madiwani Jimboni Karatu.

  • Aidha, tarehe 01/11/2004, SLAA alifumaniwa na mkewe katika chumba kimojawapo cha Hotel 56 mjini Dodoma akiwa anafanya mapenzi na msichana aitwaye NJARI. SLAA aliruka dirishani bila nguo na wahudumu wa hoteli wakamsetiri kwa shuka na kumficha hadi mke wake alipoondoka kwa hasira kali baada ya kupambana na mwizi wake sawasawa - tukio hilo lilinaswa kwenye mkanda wa simu ya mkononi ya mhudumu na umehifadhiwa kwa matumizi katika wakati muafaka.

  • Dr. SLAA anasumbuliwa na Ugonjwa mkubwa Amekuwa akienda kutibiwa mara kwa mara nchini Afrika Kusini. Mwezi Oktoba hadi Desemba, 2006, SLAA alilazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam akitibwa ugonjwa moja hatari sana.

  • Dr. SLAA amewahi kula mamilioni ya fedha za vilema ambazo zililetwa na wafadhili toka Ujerumani.Ushahidi upo kama atafanya ubishi.

  • Alihongwa nyumba Ujerumani na hawara yake wa Kijerumani ambaye sasa ni marehemu na Dr. SLAA anategemea kuhamia huko inasemekana Dr. SLAA na hawara yake ambaye ni marehemu alishirikiana kumuua mume halali wa mama huyo aliyejulikana kwa jina la Uimbosh .

  • Dr. SLAA alikuwa kachero wa Idara ya Usalama wa Taifa kama alivyo LYATONGA MREMA na alikuwa anaendelea kulipwa kiasi kikubwa cha fedha. Baadaye Idara hiyo nyeti iligundua fedha hizo anapeleka kwa hawara zake hivyo ikasitisha malipo hayo hali ambayo imemuudhi na akaanza kuipaka matope kwa kuituhumu na taarifa za kughushi anazodai amezipata. Vyanzo vya kuaminika vimebaini SLAA alipewa taarifa ya kughushi na akainunua kwa bei mbaya. Baada ya kubaini hivyo sasa anamsaka mbaya wake aliyemwingiza mjini.

JAMANI ATI HAWA NDIO WANATAKA KUCHUKUA NCHI ・ WATANZANIA TUTAFAKARI KWA MAKINI.

6 comments:

Anonymous said...

I guess the writer hopes for people to draw a conclusion "The UFISADI allegations coming from such a man cannot be credible". It is not going to work!

Anonymous said...

Hizi tuhuma dhidi ya Slaa ni za uongo, mtu yeyote anaweza kuona. Na hata kama ingekuwapo ya kweli, huyo aliyezileta kakosea timing, kwani wote tutaona ni mbinu tu za kumkomoa baada ya kuwaumbua mafisadi. Kwa hiyo lengo la kumkomoa Dr Slaa halitafanikiwa. Kama kuna mwenye habari ya udaku ya Slaa, asubiri vumbi la mafisadi liishe ndipo ailete, labda tunaweza kuitafakari kidogo.

Anonymous said...

WATU WOTE WANASEMA HABARI HIZI WAO NDIO MAFISADI NA WAONGO WAKUBWA SANA SANA SISI WOTE TUNAWAJUA WANASAMBAZA TAARIFA ZA KINAFKI KAMA HIVI . SISI TUNAJUA KWA SABABU SLAA AMESEMA UKWELI SASA WANAHANGAIKA TU. TUPO WOTE DR SLAA NA TUNAKUOMBEA MUNGU. WAO KAMA WAKISEMWA YAO NI MENGI NYINYI WOTE MNAKOSA YA KUSEMA SASA NI KUJISUMBUA TU
ISAYA JOHN

Anonymous said...

HUU NI USENGE MKUBWA.HUYO ALIYEANDIKA LAZIMA ATAKUWA ANAKANDAMIZWA UANI TUU. CHUKI ZENU KWA SLAA MPIGANAJI WA WANYONGE HAZITAWAFIKISHA POPOTE.KILA MWENYE AKILI ANAJUA SLAA ANAFANYA NINI KWA NCHI HII

Anonymous said...

Wewe uliyeandika ni moja ya fisadi, Hujawahi kuishi kwenye kijiji ukaona maisha. Unachojuwa ni kupotezea watu muda kuandika ujinga.

Anonymous said...

Rudini kwenu mkajenge vijiji, mafanya nini nchiza watu, mananyanyasika tu. Rudini kwenu na siyo kuandika unkown. Wanavijiji wanhitaji walio soma kwenda kuwaendelea, na siyo tunatafuta kulikoendelezwa tunapachika puwa. Kama kweli wewe ni unajiita Mtanzani rudi na kaishi kijiji.