Monday, October 01, 2007

WATANZANIA OSLO TUNA UGENI WA KISERIKALI TOKA NYUMBANI

1. Honourable Deputy Minister, Mr. Daniel Nzanzugwano, Ministry of Information, Culture and Sports.

2. Mr. Jacob Gregory Tesha (Head of Information, Education and Communication Unit in the Ministry of Information, Culture and Sports),

3. Ms. Christina Thomas (Head of Advertising of the Tanzania Standard Newspaper),

4. Ms. Imane Duwe (Acting Chief Editor of Television of Zanzibar) and

5. Ms. Edda Sanga (General Manager - Radio Tanzania)

_______________________________________________

Hawa wageni wako hapa toka Ijumaa tarehe 28 Septemba 2007. Wataondoka Ijumaa Oktoba 5, 2007. wamefikia Radisson SAS Hotel, HolbergsPlass, Oslo. Wamealikwa na NORAD kuja kuangalia jinsi vyombo vya habari vinavyofanya kazi hapa Norway.

Wangependa kukutana na kuzungumza na Mtanzania/Watanzania. Mwenye nafasi anaweza kukutana nao:

Alhamisi, Oktoba 4, 2007 hapo hotelini.


No comments: