Wednesday, November 07, 2007

Na Waandishi Wetu

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Jakaya Kikwete 'amezika' rasmi kundi la mtandao baada ya kumpendekeza na hatimaye kuchaguliwa Makamu Mwenyekiti wa chama chake, Bw. Pius Msekwa.

Kuna taarifa kuwa Bw. Msekwa katika uchaguzi mkuu uliopita hakuwa miongoni mwa wana mtandao na alikuwa akimuunga mkono kiongozi mwingine wa chama hicho, Bw. Frederick Sumaye ambaye alikuwa Waziri Mkuu katika serikali iliyopita....(soma zaidi)

No comments: