Juzi Jumatano ndege 9 za kivita toka kikosi 338 cha Jeshi la Anga la Norway,
Royal Norwegian Air Force/Luftforsvaret
za aina ya
F - 16 "Fighting Falcon"
ziliruka kutoka kiwanja cha ndege za kivita cha Ørland zikiwa kwenye "fomesheni" ya nyota kama zinavyoonekana hapo chini. Zilipita kwa kasi na mbwembwe, sehemu kubwa ya Norway kutoa salamu za Krismasi. Hii ni kawaida kila mwaka kwa jeshi la anga la Norway kurusha ndege zake za kivita na kutoa
salamu za Krismasi.

Kawaida hii ilianza toka kwenye miaka ya 60.
Ziliruka toka Ørland "Air Force base" saa 09:30 asubuhi
Rørvik saa 09:40 asubuhi
Brønnøysund saa 09:45 asubuhi
Stokken saa 09:49 asubuhi
Bodø saa 10:00 asubuhi
Namsos saa 10:28 asubuhi
Steinkjær saa 10:35 asubuhi
Værnes saa 10:39 asubuhi
Trondheim saa 10:41 asubuhi
Ørland saa 10:44 (zilitua na kuongeza mafuta)
Gardemoen Oslo Airport saa 11:55 asubuhi
Kjeller saa 11:57 asubuhi
Oslo saa 12:00 mchana
Rygge saa 12:05 mchana
Tønsberg saa 12:07 mchana
Mågerøe saa 12:08 mchana
Stavanger saa 12:28 mchana
Haugesund saa 12:36 mchana
Sør Stokken saa 12:40 mchana
Bergen saa 12:45 mchana
Chanzo cha habari Union of Norwegian Officers.

No comments:
Post a Comment