Saturday, January 12, 2008

Sherehe za Mapinduzi Zanzibar Leo.

Rais Jakaya Kikwete akisalimia wananchi waliojitokeza katika uwanja wa Amani alipoudhuria sherehe za Mapinduzi. Chini, Rais Aman Abeid Karume akikagua gwaride la heshima jana katika uwanja wa Amani,Zanzibar katika sherehe za miaka 44 ya Mapinduzi Zanzibar na hao wengine picha ya chini ni kikosi cha Valantia.Picha na Edwin Mjwahuzi.

Kutoka: http://haki-hakingowi.blogspot.com/


No comments: