Meja Jenerali Semfuko,
Brigedia Jenerali Kilonzo
Wastaafu.
Wastaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania, Meja Jenerali Hamisi Semfuko (kushoto) na Brigedia Jenerali Rasul Kilonzo, wakisalimiana wakati wa hafla ya kuwaaga iliyofanyika katika Kambi ya Twalipo Mgulani jijini Dar es Salaam Leo.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na JKT Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange na Mkuu wa Majeshi Mstaafu, George Waitara, wakiteta jambo walipokutana katika viwanja vya Kambi ya Twalipo Mgulani jijini Dar es Salaam, zilikofanyika sherehe za kuwaaga wastaafu.
Mkuu wa Majeshi Mstaafu, George Waitara, na Mkuu mpya wa Mafunzo na Utendaji Kivita, Luteni Jenerali Seni Hinda, wakitafakari jambo walipokutana katika hafla ya kuwaaga wastaafu kwenye kambi ya Jenerali Twalipo Mgulani
Dar es Salaam leo. Picha kwa hisani ya:
http://haki-hakingowi.blogspot.com
No comments:
Post a Comment