Mwanadada Mrembo wa Kitanzania...Ida Ljungqvist !!!
Ida Ljungqvist (26), binti mrembo anaye ipeperusha bendera ndani ya Playboy, ambaye mama yake mtanzania na baba m'swedish. Ida alizaliwa Tanzania na aliondoka nchini akiwa na miaka 5 tu. Ametambulishwa rasmi kuwa Playmate mpya wa Playboy wa mwezi ujao kama "Miss March 2008". Kuchaguliwa kwake kuwa Playmate, inasemakana amevunja rekodi kuwa mwanamke wa kwanza mzaliwa wa Afrika kuteuliwa kuwa mmoja wa playmates ndani ya Playboy. Ida anazungumza lugha tatu ikiwepo Kiswahili, ki'swedish, na kiingereza... mbali na hapo anapenda kupika pilau!
Kutoka: http://total-knockout.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment