Tuesday, March 25, 2008

JWTZ kukiteka Anjouan?





Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakiongoza Majeshi ya Umoja wa Afrika wakiwa katika medani za kivita.JWTZ na Majeshi ya Umoja wa Afrika wanatarajiwa kukiteka kisiwa cha Anjouan wakati wowote kuanzia sasa. Picha kutoka AFP. Zaidi bofya hapa



No comments: