Monday, April 07, 2008


Mashaka Bartazar, Mwanza na Mwandishi Wetu, Dar


Huu ni ukatili na unyama! Mtoto yatima wa Kitanzania (13) anayesoma katika Shule ya Msingi Sota, Sengerema ambaye alilazimishwa kufanya mapenzi na mbwa kwa muda wa saa moja, amesababisha kilio na huzuni kwa Watanzania....

Aniceth Ndege (30), mwajiriwa wa Kampuni ya Barrick aliyekuwa akimtunza mbwa huyo, inadaiwa alifanya hivyo kwa shinikizo ambalo limejificha nyuma ya pazia kutoka kwa mzungu mmoja ambaye mpaka sasa hajulikani anafanya kazi kampuni gani na yuko Sengerema kwa lengo lipi.

Binti huyo aliyelazimishwa kufanya mapenzi na mbwa huyo, alilipwa ujira wa Sh 1,000 kwa kazi hiyo ambayo ilimchukua muda wa saa nzima.

Habari tulizonazo zinasema kwamba binti huyo alichukuliwa na kupelekwa kufanyishwa mapenzi hayo haramu, wakati alipokuwa anafanya biashara yake ya kuuza maandazi.

Tukio hilo lililotokea Machi 21, mwaka huu, na inadaiwa lina mkono wa mzungu huyo, huku ikiaminika kwamba mwenye uwezo wa kuthibitisha hilo ni Ndege ambaye ndiye aliyekuwa akimtunza mbwa huyo.

Chanzo chetu kilisema, binti huyo yatima anayesoma Darasa la Nne katika shule hiyo iliyopo Kijiji cha Ngoma, Kata ya Igalula, alikwenda kwenye kambi hiyo ya Utafiti wa Madini ya Nyanzaga, inayomilikiwa na Kampuni ya Barrick baada ya kushawishiwa na msichana mwingine.
Mtoa habari huyo alisema, binti huyo ambaye kwa sasa hali yake si nzuri na anayetoka usaha ukeni, inadaiwa alirubuniwa kwenda huko na msichana aliyetambuliwa kwa jina la Shija Madata.
Ilielezwa kuwa binti huyo akiwa kwenye kambi hiyo, ilipofika saa tatu usiku, alipelekwa kwa nguvu katika banda la mbwa ambako alivuliwa nguo na kulazimishwa kufanya naye mapenzi huku watuhumiwa wakimtazama.

Hata hivyo, haikuweza kufahamika lengo la kufanyika kwa unyama huo, ingawa imeshawekwa wazi kuwa kipindi chote ambacho binti huyo alikuwa akifanyishwa mapenzi na mbwa, alisimamiwa na Job Joas Mlama (30), Ndege na Shija Ilielezwa kuwa Mlama ni sungusungu wa Kijiji cha Sota na anayefanya kazi ya upishi katika kambi hiyo na Ndege, wote wawili ni walinzi wa kambi hiyo ambayo ipo chini Barrick Exploration Africa Limited (BEAL).¨

Habari zaidi zinadai, Shija alipewa shilingi 70,000 na walinzi hao kama ujira ili ampe msichana huyo, lakini alimpiga panga na kumpa sh. 1,000 tu, baada ya kumaliza kufanya mapenzi na mbwa huyo. Binti huyo kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Sengerema kwa matibabu.

Mara baada ya kitendo hicho, mwanamke aliyemshawishi binti huyo alikamatwa na polisi katika Kijiji cha Nyancheche, akiwa katika harakati za kutoroka. Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Sengerema, Rashid Seif alithibitisha kutokea kwa tukio hilo.Ofisa Uhusiano wa Barrick Tanzania, Teweli Teweli alikiri kuwa Ndege na Mlama ni wafanyakazi wao, ingawa alilaani kitendo walichofanya kuwa hakiendani na heshima wanayoitaka kwa watumishi wa kampuni hiyo.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ramadhan Mwombeki alikiri pia kutokea kwa tukio hilo na kusema, walinzi hao walimshikilia msichana huyo, ili kumuwezesha mbwa kumuingilia kwa urahisi.

Hii si mara ya kwanza kwa kitendo hicho kutokea kwani katika miaka ya ’90, msichana wa Kitanzania aliwahi kulazimishwa kufanya mapenzi na mbwa wa raia mmoja wa Ujerumani, hali iliyozusha tafrani kubwa na kusababisha kufukuzwa nchini.Alipoulizwa kuhusu tukio hilo Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha alisema, kwa sasa hawezi kusema lolote kwani Serikali inafanya uchunguzi.

Wakati huo huo, Watanzania mbalimbali wametuma maoni yao kupitia gazeti hili, wakimtaka Rais Jakaya Kikwete aingilie kati suala hilo na ikiwezekana mzungu anayedaiwa kumtuma Ndege akamatwe na kufikishwa kortini.

Walisema, kama Ndege atabanwa, atasema mbwa ni mali ya nani, kwahiyo wakamtaka aingilie kati kupitia kada zake za dola ili haki itendeke.“Mbwa aliyefanya unyama huo ni wa mzungu, kwasababu anaonekana ameshiba mafunzo, ndiyo maana ameweza kufanya mapenzi na binadamu, mbwa wa Mswahili wa kawaida hawezi,” alisema Jane Peter wa Mabibo Dar es Salaam.

Naye, Ashraf Hamdun wa Sinza jijini, alisema: “Mbwa kumuingilia binadamu siyo utamaduni wetu, mbwa aliyemuingilia mtoto kule Sengerema ni mali ya mzungu, na hiyo haijaanza leo ni tabia imezoeleka sasa. Kila siku dada zetu hasa hawa machangudoa wananunuliwa na kufanyishwa mapenzi na mbwa.

“Mimi nafikiri huu ni wakati ambao JK anatakiwa kuingilia kati ili mzungu anayefichwa, ajulikane na akamatwe, naamini Ndege akibanwa atamtaja.”

Mpendwa msomaji wa Habari hii ya kusikitisha, wewe una maoni gani kuhusu tukio hili la aina yake kutokea nchini Tanzania? Ni ni kifanyike juu ya suala hili?Tutumie maoni yako.


1 comment:

Anonymous said...

Wazungu wengi waliokuja afrika ni wayahudi, nia na kusudi ni kuharibu nchi. Fikiria magonjwa na yanayoweza kumpata mtoto huyo ya kimental na ya kimwili.
Cha muhimu ni kufukuza wayahudi wote wa kifisadi kutoka nchi yetu wato warudi makwao.
ni mabeberu, wanyama, makatili, mabepari, maparasite, wezi na wasio na wema.
Kampuni ya Barrick imefisadi uongozi wetu na kuuwa watu Uliyanhulu.
Fukuza wazungu wawekezaji wa kitapeli wa kiyahudi.