Tuesday, April 29, 2008

Mazishi

ya

Salome



Upendo Danstan, Mama mzazi wa, Salome Yohana, aliyechinjwa na mtuhumiwa Ramadhani Mussa wiki iliyopita, akisaidiwa baada ya kuweka mchanga kwenye kaburi la marehemu mwanawe, aliyezikwa katika makaburi ya Segerea jijini
Dar es Salaam leo.



Upendo Danstan, mama mzazi wa, Salome Yohana,aliyechinjwa na mtuhumiwa Ramadhani Mussa wiki iliyopita,akiweka mchanga kwenye kaburi la marehemu mwanawe, aliyezikwa katika makaburi ya Segerea jijini Dar es Salaam leo.


Wazazi wa Salome Yohana aliyekutwa amekufa siku ya Jumamosi na baadae kichwa chake kukutwa kikinyonywa damu juzi na Ramadhani Mussa,wakizika mwili wa mtoto wao leo jioni kwenye Makaburi ya Segerea jijini Dar es Salaam


Sehemu ya Umati wa waombolezaji wakiwa na nyuso za huzuni kabla ya kuelekea kwenye Mazishi ya Mtoto Salome (3) aliyezikwa leo kwenye Makaburi ya Segerea jijini Dar es Salaam,Mwenyezi mungu ailaze roho ya Marehemu Salome mahala pema peponi Ameni.Picha Zote kwa Msaada Mkubwa wa Mpoki Bukuku The Citizen na Bernard Rwebangira kutoka TSN.

Kutoka:
http://haki-hakingowi.blogspot.com/



No comments: