Thursday, May 22, 2008

MAHOJIANO NA WARIOBA

Umma unanyonywa



SWALI: Tume yako ya Kero ya Rushwa ilitoa ripoti nzuri sana, lakini huyo aliyekuteua wewe kuiongoza leo anaandikwa sana kuhusu ufisadi. Wewe unajisikiaje anapoandikwa hivyo?

JAJI WARIOBA: Vyombo vya habari vina uhuru wa kuandika. Mimi sitawazuia kuandika na wanaweza kuandika juu ya mtu yeyote. Hakuna matatizo juu ya hilo. Lakini kuandika kitu na kuthibitisha ni mambo mawili tofauti.

Nimeona wanayoandika juu ya Mkapa (rais mstaafu Benjamin Mkapa). Nimeona wanaandika na nimeona mjadala mkubwa tu unaolenga kwenye immunity.



Bofya na endelea........

No comments: