Mmoja wa watu hao akizungumza kwa niaba ya wenzake mwishoni mwa wiki iliyopita kwa njia ya simu na kuomba hifadhi ya jina lake kwa madai ya usalama, alisema wengi wao walikamatwa usiku majumbani mwao...Mmoja wa watu hao akizungumza kwa niaba ya wenzake mwishoni mwa wiki iliyopita kwa njia ya simu na kuomba hifadhi ya jina lake kwa madai ya usalama, alisema wengi wao walikamatwa usiku majumbani mwao. “Mimi nilishtukia watu wakiwa nje ya nyumba yangu na kuniambia nifungue mlango na kwamba wao ni polisi, nilichungulia dirishani sikuona kama walikuwa ni watu wazuri kwa kuwa sikuona hata askari mmoja mwenye sare za jeshi,” alisema mtuhumiwa huyo. Bofya hapa na endelea kusoma....
Tuesday, May 20, 2008

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment