Kwa mujibu wa gazeti hilo (halitolewi na Global Publishers), Johari aliazimwa gari na McDonald, wakati wakishirikiana katika mradi wa Filamu ya Revenge, lakini mrembo huyo alimzunguka na kudai usafiri huo umeibiwa.
Ilielezwa pia kwamba gari hilo lilipatikana kutokana na juhudi za Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro ambapo dereva aliyekamatwa nalo alipoulizwa alikolipata, alisema ameuziwa na wasanii Muhsin Awadh ‘Dk. Cheni’ na Vincent Kigosi ‘Ray’
Akiongea kwa kirefu zaidi, Johari alisema, anashangazwa na madai hayo yanayoelekezwa kwake kwasababu ukweli unajulikana wazi.

“Hivi watu hawajiulizi, mtu uibiwe gari mpaka kadi? Ni katika misingi ipi?” Alihoji msanii huyo.
Aliongeza, mgogoro wa gari kati yake na McDonald ulianza kuchukua nafasi tangu walipotengana ambapo mfanyabiashara huyo alianza kumfanyia hila kwa kumdai amlipe kila kitu chake.
“Ni roho ya kimaskini, watu wanahonga mpaka Lexus itakuwa Corolla? Ni umaskini tu huo, yaani leo unampa mtu kitu tena kwa roho nyeupe kesho mnaachana unadai amekuibia,” alisisitiza.
Mwandishi wetu, aliongea na Ray ambaye alisema kuwa hajawahi kufanya biashara ya gari na Johari na kudai kwamba anashangazwa kuhusishwa katika tuhuma hizo.
“Lile gari walipeana kwasababu za kimapenzi na wakati wanapeana mimi sikuwepo. Unajua mimi ni sisimizi, siwezi kupambana na tembo, lakini kuna uwezekano sisimizi wakamuua tembo, hivyo yote namuachia Mungu.
Gari la aina ya Toyota Corolla alilohongwa Johari

“Huyu mtu anatuandama sana, lakini nashukuru Watanzania wataujua ukweli na wengine wameshaujua, hivi mtu akikataliwa ni kwanini asumbue watu?” Alihoji Ray.
Gazeti hili, liliongea na McDonald ambaye alikanusha vikali madai kuwa gari hilo alimpa Johari baada ya kukolea kimapenzi kwa msanii huyo.
“Suala la mimi kumpa gari Johari ni sawa na kumpa mtu shilingi 2,000, kwahiyo siwezi kumdai, lakini ukweli ni kwamba lile gari sikumpa bali wameniibia.
“Kadi waliniibia wakati nilipowaruhusu wacheze scene (kipande) moja ya Revenge chumbani kwangu, kwahiyo ni hapo Ray alimshawishi Johari waniibie kadi ya gari kabatini kwangu,” alisema McDonald.

1 comment:
Wasichana wote wenye tabia za hivi ukimwi utawapunguza.Gari bila kujali usalama unavua chupi.Vijana wenye umri wako wanakufuata unawatosa.Fikiria kujenga familia dada sio kupata pesa.Subiri ngoma ukumalize polepole.
Post a Comment