Tuesday, May 13, 2008





Watakaopenda kushiriki,

bofya kiungo hapo chini

kujiandikisha


http://www.misstanzania.eu/



Contact

Hassan Nganzo

+4747262181

Oslo, Norway

nganzo88@yahoo.no



5 comments:

Anonymous said...

Mbona Norway haimo?

Wenu,
Tausi Usi Ame

Anonymous said...

Nadhani waliotengeza hiyo tovuti wanadhani Norway ipo Sweden au Denmark!!!

Tambrina,
Malmoe,
Sweden.

Anonymous said...

Tausi,

jiandikishe, Nchi andika Sweden.


Tambrina,
Malmoe,
Sweden.

Anonymous said...

Kwako mshiriki;

Iwapo upo nchi unaishi yoyote ya Europe na ni Visa free to Germany, unaweza shiriki mashindano hayo, Hii ni kwa ajili ya kupunguza Urasimu kwa washiriki na waandazi. Kutoka na makubaliano ya umoja wa nchi za Europe kuna mkataba ambao unaifanya Norway isiwekwe kwenye idadi ya nchi za Ulaya, kama ilivyo Swissland na Ireland waweza tizama Google, Cha msingi kama nikujiunga iwapo una umetimiza miaka 18.

Wasiliana nami info@misstanzania.eu

Anonymous said...

Sasa kwenye:

Apply for Miss Tanzania 2008 Pageant

kuna kujaza fomu za kuiandikisha online.no

First name:
Last name:
Adresse:

ZIP/City:

Country: HAPA NDIPO PENYE UTATA. Nitaandika nchi gani kama Norway haipo? Na mimi naishi Norway....