Zanzibar:
ipi mbichi na ipi mbivu
2008-05-18 11:44:54
Na Mwinyi Sadallah, Zanzibar
Wasiwasi umetanda visiwani Zanzibar kufuatia kusambaa kwa vipeperushi vinavyowataka wakazi wa Pemba kuondoka haraka kisiwani Unguja na kurudi kwao.Na Mwinyi Sadallah, Zanzibar
Kukamatwa kwa wananchi saba wanaohusishwa na kosa la uhaini kumeonekana kusababisha chuki na uhasama wa kisiasa miongoni mwa wananchi wa Zanzibar.
Hali ya kisiasa visiwani hapa inazidi kuwa tete baada ya wananchi wa Unguja nao kusambaza vipeperushi vinavyounga mkono kisiwa cha Pemba kujitenga na vingine vikiwataka wapemba waondoke.
Baadhi ya wananchi waliohojiwa na Nipashe jana walisema sasa ndio itajulikana ipi mbichi na ipi mbivu, wenginewanasema wapemba ndio watakaopata shida zaidi iwapo wataamua kujitenga.
Endelea kusoma......
No comments:
Post a Comment