Siri ya fedha za EPA hadharani
Barclays Bank, Standard Chartered, Kenya Commercial Bank, walishituka
CRDB walipitisha Bil 35/- za Kagoda pekee
Ripoti ilishauri wajumbe wa bodi wachukuliwe hatua
RIPOTI ya siri ya ukaguzi wa pesa za EPA uliofanywa na Ernst & Young inaonyesha kwamba baadhi ya benki nchini zilibaini mapema kuwapo kwa ufisadi mkubwa ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), na kwamba benki ya Barclays iliamua kuzikataa fedha za mteja wake mmoja hata baada ya serikali kuhakikishia kwamba ni fedha halali, RAIA MWEMA limebaini.
No comments:
Post a Comment