Breaking news!!
Kifo cha Wangwe:
Vurugu Maiti
Haijazikwa leo
Breaking news nimezipata hivi punde ni kuwa mwili wa Wangwe ulikabidhiwa kwa ndugu jana jioni !! nao wale ni professional kuna nduguye mmoja ni Daktari alikagua upya(yaani Postmortam) mwili usiku na kukuta risasi ktk kichwa cha marehemu ambayo inasemekana alipigwa mdomoni!!!Hivyo basi muda wa mzishi ulipowadia Ndugu walikuwa mbogo na Mbeowe aliposhuka alitaka kuumizwa kama sio kuuwawa na wananchi wenye hasira Imebidi Mwili uondoke na polisi kwa mazishi hayafanyika!!
hiyo ni kutoka kijijini Kyamakorere kwa wakurya!!
Source: Alice Ngubwene, Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment