
Gharama za Hija
zapanda
2008-08-07 09:53:34
Na Simon Mhina
Na Simon Mhina
Gharama za Hija mwaka huu, zimezidi kuongezeka ambapo sasa kila mhujaji atalazimika kulipia dola 3,150 za Kimarekani (karibu sawa na Shilingi milioni nne).
Mwaka jana gharama zilikuwa ni dola 2,650 za Kimarekani.
Hayo yalitangazwa jana jijini Dar es Salaam na Kaimu Mufti wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Sheikh Suleiman Gorogorosi alipokuwa akizindua mchakato wa Ibada ya Hija na gharama mpya ya nauli kwa kipindi cha miezi miwili.
No comments:
Post a Comment