
Hatimaye shindano la kumtafuta Miss Tanzania 2008-9 limefikia tamati usiku wa kuamkia leo kwa taji hilo kuchukuliwa na Nasreem Karim, mrembo mwenye umri wa miaka 22 kutoka Kanda ya ziwa, na hivyo kujitwalia 'mchuma' wa shilingi milioni 42, Grand Vitara. Nafasi ya pili imekwenda kwa Silvia Mashuda na nafasi ya tatu imeenda kwa Pendo David...!!!

Nasreem Karim, Miss Tanzania 2008-2009

Nasreem akiwa na Pendo David(kushoto) na Sylvia Mashuda

Shamra shamra za 'fireworks' baada ya kutangazwa mshindi,
chini ndiyo mchuma atakaokabidhiwa Miss Tanzania.


Mkurugenzi wa Masoko wa VODACOM, Ephrahim Mafuru(kulia) akimpongeza
Bw. Mukamu ambaye ndiye mwandaaji wa mashindano ya
Kanda ya Ziwa aliyetoa mshindi.

..umati wa wadau ukitawanyika.....


Nasreem Karim, 22 Yrs Old.
(PICHA ISSA MNALLY/GPL)
Courtsey of Global Publishers (Tanzania)
Jose Chameleone afanya
Mambo Miss Vodacom
Tanzania 2008
Mambo Miss Vodacom
Tanzania 2008
No comments:
Post a Comment