Sunday, August 24, 2008

Latoya Mwakilishi

wa Tanzania Big

Brother Africa III

2008



Latonya Lwakurwa kutoka Tanzania


Mimi kutoka Ghana


Lucille kutoka Namibia


Sheila kutoak Kenya


Hazel kutoka Malawi


Tawana kutoka Botswana
-----


Picha ya kwanza juu ndiye mwakilishi wa Tanzania kwenye Shindano la BBA Afrika III 2008. Shindano ambalo limeanza leo rasmi nchini afrika kusini. Huku Tanzania tukiwakilishwa na kimwana Latoya Lyakurwa kutoka Arusha, picha nyingine ni baadhi ya vimwana wanaoshiriki kwenye shindano hilo mwaka huu ambapo ni mjumuiko wa wasichana 6 na Wavualan 6.




No comments: