Sunday, August 17, 2008

Norway kutoa

vitambulisho

vya taifa 2009




Norway itatoa vitambulisho vya taifa kwa raia wake wote mwakani. Vitambulisho hivyo vitawekwa kihifadhidata (chip) ambacho kitakuwa na habari zote za mwenye kitambulisho. Vitambulisho hivyo vipya vitatumika pia badala ya pasipoti pale Wanorweji watakapokuwa wanasafiri kwenye nchi za makubaliano ya Schengen na siyo duniani kote!

Nje ya nchi za makubaliano ya Schengen, itabidi wasafiri na pasipoti zao.

No comments: