Saturday, August 16, 2008

Norway yapata

medali ya kwanza

ya dhahabu



Olaf Tufte akilia kwa furaha baada ya kushinda medali ya dhahabu.
Picha na AFP.


Olaf Tufte ameipatia Norway medali ya kwanza ya Olimpiki, baada ya kushinda mita 2000 za mitumbwi. Olaf Tufte alishinda mita hizo kwenye Olimpiki ya Athens miaka minne iliyopita.

No comments: