Shule zafunguliwa
Baada ya likizo
Leo Jumatatu tarehe 18 Agosti 2008, shule za msingi na sekondari zinafunguliwa baada ya likizo ndefu ya majira ya Kiangazi (sommerferie) iliyoanza 20 Juni 2008. Watoto wote waliotimiza miaka 6 mwaka huu wanaanza darasa la kwanza. Umri wa kuanza darasa la kwanza hapa Norway ni miaka sita. Kwa watoto wengi leo ni siku ya kukumbuka maishani!
No comments:
Post a Comment