Monday, August 18, 2008

Suala la




kama nchi

au siyo:

hali ni mbaya


na Kulwa Karedia Dar na Mwanne Mashugu, Zanzibar

MUUNGANO wa Tanzania unapitia katika kipindi kigumu pengine kuliko vyote vilivyowahi kutokea huko nyuma, na Rais Jakaya Kikwete ametahadharishwa kuwa mwangalifu, la sivyo anaweza kuingia katika historia ya kuwa kiongozi aliyekuwa madarakani wakati muungano wa zaidi ya miongo minne ulipovunjika.

Hatua iliyofikiwa sasa katika mjadala wa iwapo Zanzibar ni nchi au la, umewashtua baadhi ya watu, ambao wameonya kuwa hatua iliyofikiwa inatisha.

Walikuwa wakizungumzia kauli zinazoendelea kutolewa na watu mbalimbali na jinsi kauli hizo zinavyoibua masuala kadhaa, ambayo kwa muda mrefu yalifichwa, aidha kwa makusudi au kwa bahati mbaya.


No comments: