Friday, August 22, 2008


Wanachanga walio

hoi, wanachonga

walio hai


Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.


Mpenzi Frank,

VIPI hali yako mpenzi? Acha kuwa na wasiwasi juu yangu. Najua wewe ni dume sana na huamini kwamba naweza kujilinda mwenyewe, lakini wasiwasi wako ni wa bure. Hapo kweli kuna mikiki ya kila aina lakini hao hawaniwezi nakuambia. Hawaniwezi kwa sababu hawanijui! Na hawatanijua. Wataendelea kufikiri kwamba mimi ni mshamba bila hili wala lile.


Bofya na endelea>>>>>




No comments: