Thursday, September 25, 2008

DPP atoa kibali,

Kikwete apata

kigugumizi



PAMOJA na kukamilika kwa uchunguzi na kuwapo kwa ushahidi wa kutosha, Serikali ya Rais Jakaya Kikwete imepata kigugumizi katika kuwafikisha mahakamani watuhumiwa wakubwa wa ufisadi, baadhi yao wakiwa bado ndani ya nafasi za juu za uongozi serikalini, RAIA MWEMA limefahamishwa.

Vyanzo mbalimbali vya habari vya kuaminika ndani ya serikali vimeeleza kwamba vyombo vya dola, ikiwamo Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) na Jeshi la Polisi, vimekuwa katika shinikizo kubwa la kutowafikisha mahakamani watuhumiwa hao; huku kukiwa na mvutano wa wazi ndani ya vyombo hivyo.  Bofya na endelea>>>>>


No comments: