Shule, vyuo vimefungwa
Likizo ya Kipupwe
(Høstferie)

Kuanzia leo Jumatatu 29.09.2008 hadi Ijumaa 03.10.2008, shule za msingi hadi vyuo vya elimu ya juu, vimefungwa kwa likizo ya mapumziko ya Kipupwe (Høstferie/Autumn break). Miti na majani vimeanza kupukutika, rangi za majani zimeanza kubadilika kama jani hilo kwenye picha linavyoonekana.
Tunawatakia likizo njema kwa wale walio likizoni!!!
No comments:
Post a Comment