Wednesday, September 24, 2008

Waziri Mkuu Raila

Ziarani Dar es Salaam


Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga akipita mbele ya gwaride maalum lililoandaliwa kwa ajili yake alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. JK Nyerere Dar es Salaam jana. Kulia kwa Odinga ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke Abdalah Kihato. Picha kwa hisani ya Mrocki (Father Kidevu)


No comments: