Balozi Dr. Ben Moses
Amaliza muda wake
Nchi za Nordic na za
Mheshimiwa Balozi Dr. Ben E. Moses, akiwa na Mkewe Balozi wa Tanzania Nchini Sweden.
Mheshimiwa Benn Moses leo jioni aliagwa rasmi na baadhi ya Watanzania waishio mjini Stockholm kwa kumaliza muda wake wa kuiwakilisha Tanzania nchi za Nordic (Norway, Sweden, Denmark, Finland, Iceland, Greenland, Åland na visiwa na Faeroe) na nchi za Baltics (Estonia, Latvia na Lithuenia) katika Sherehe fupi iliyoandaliwa na umoja wa Watanzania waishio Stockholm, ambayo ilifanyika nyumbani kwa balozi.
No comments:
Post a Comment