Wednesday, October 29, 2008

Je, umebadili matairi?




Ule muda umefika.

Nyevunyevu za theluji

zimeanza kuanguka..

barabara zinateleza...

muda wa kubadili matairi

ya majira ya Kiangazi

hadi ya theluji hapa Norway

ni Novemba Mosi.



No comments: