ZIKIWA zimebakia siku mbili kwisha kwa muda uliotolewa kwa timu ya Rais iliyokabidhiwa jukumu la kuchunguza wizi wa fedha katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ndani ya Benki Kuu ya Tanzania, watuhumiwa wakuu watatu wa wizi huo wanaelekea kuumiza vichwa vya viongozi na watendaji wakuu serikalini na ndani ya chama tawala cha CCM kutokana na nguvu kubwa waliyonayo........bofya na endelea>>>>>.
No comments:
Post a Comment