WAZIRI MKUU AKIWA NAMIBIA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa na mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Nambia, Nahas Angula baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kotako nchini Namibia kwa ziara ya kikazi October 6, 2008.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Namibia, Nahas Angula (kushoto) kukagua gwaride baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako kwa ziara ya kikazi nchini humo October 6, 2008.
No comments:
Post a Comment