Monday, November 24, 2008

Eve na Fat Joe

kutingisha

Dar es Salaam

mwezi Desemba 


EVE


FAT JOE


Wanamziki wa kizazi kipya cha Marekani (Hip Hop), Fat Joe (Joseph Antonio Cartagena) na Eve (Eve Jihan Jeffers), watatua Dar es Salaam, Desemba 8, kuangusha shoo la kujiachia! 
Kaa chonjo!

No comments: