Thursday, November 27, 2008

Jela ni noma! Waziri wa zamani wa Fedha Basil Pesambili Mramba aliyeswekwa rumande juzi (Jumatatu) ndani ya Gereza la Keko jijini Dar es Salaam, akituhumiwa kutumia vibaya madaraka yake amedaiwa kuwa taabani kufuatia kukumbwa na msongo wa mawazo....bofya na endelea>>>>>


No comments: