Skendo la ufisadi katika akaunti ya malipo ya madeni ya nje (EPA) bado linaendelea kusumbua vichwa vya watu wengi, ambapo kwa sasa maofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), na wale wa Usalama wa Taifa wameweka kambi Benki Kuu (BoT), kwa lengo la kuwabaini vigogo wote waliohusika na uchotaji wa mabilioni kwenye akaunti hiyo na hatimaye kuwafungulia mashitaka....bofya na endelea>>>>>
No comments:
Post a Comment