Samahani ndugu asiyekuwa na jina. Kwenye nchi ya Tanzania (Muungano wa Tanganyika na Zanzibar) tunasherehekea 9. Desemba ya Uhuru na Jamhuri wa Tanzania Bara (Tanganyika), Januari 12, tunasherehekea Mapinduzi ya Zanzibar na Aprili 26, tunasherehekea siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, siku iliyozaa Tanzania. Watanzania Oslo hawamdanganyi mtu yeyote yule. Hiyo ndiyo historia tunayoielewa. Mwenzetu wewe kama una historia tofauti na hiyo, tueleweshe...
2 comments:
Mbona mnadangaya ulimwengu TANZANIA ilipewa uhuru na nani kwa nini mnashindwa kusema kuwa ni UHURU wa TANAGANYIKA

Post a Comment