Sofia Simba,
Mwenyekiti wa UWT
Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Utawala Bora, Bi. Sofia Simba (pichani), amechaguliwa leo kuwa mwenyekiti mpya wa Umoja wa Wanawake Tanzania (Umoja wa Wanawake wa CCM), kwa kura 470 na kuwashinda wapinzani wake kwenye uchaguzi huo, Bi. Janet Kahama (Mbunge wa CCM wa viti maalumu) aliyepata kura 383 na Bi. Joyce Masunga (Mbunge wa CCM wa viti maalumu) aliyeambulia kura 10 tu!
No comments:
Post a Comment