Mwanamke wa
kwanza waziri
ateuliwa nchini
Picha ya mwanamke wa Kisaudia
Mtaalamu wa elimu ya wasichana, ameteuliwa kuwa waziri wa kwanza wa kike kwenye historia ya Falme ya Saudi Arabia. Uteuzi huo ulifanywa na Mfalme Abdullah Jumamosi 14.2.2009.
Nora Bint Abdullah al-Fayez, ambaye elimu yake ameipatia nchini Marekani, na alikuwa mwalimu, amechaguliwa kuwa naibu waziri elimu kwenye idara mpya itakayokuwa inashughulikia masuala ya wanafunzi wanawake nchini Saudi Arabia.
Uteuzi huo ni wa kihistoria, ukizingatia kuwa, wanawake nchini humo hawaruhusiwi hata kuendesha magari!
No comments:
Post a Comment