Hongera Mheshimiwa
Rais Jakaya Kikwete
na Mama Salma
kwa kutimiza miaka
20 ya Ndoa
Pichani ni Rais Jakaya Kikwete na mkewe Salma Kikwete wakikata keki kwa kutimiza Miaka 20 ya Ndoa kwenye sherehe fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni na kushuhudiwa na Ndugu Jamaa na Marafiki wa Karibu..
Rais Jakaya Kikwete akimlisha Keki Mkewe Salma Kikwete kw akutimiza Miaka 20 ya ndoa kwenye sherehe fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam jana jioni.
Picha na habari kwa hisani ya mdau:
No comments:
Post a Comment