


JIANDIKISHE SASA
MISS TANZANIA
EU 2009
Je wewe ni msichana mrembo
mwenye sifa zifuatazo:-
• Umri kati ya miaka 18 – 24
• Mtanzania unayeishi katika moja ya
• Tabasamu zuri, umbo zuri na mvuto,
nidhamu na ufahamu wa kujibu
maswali.
• Unauwezo wa kujieleza na kuwa
balozi wa nchi yako Tanzania
Tuma maombi yako ukiambatanisha
na picha :-
MADHUMUNI YA MISS TANZANIA
EU NI PAMOJA NA:
• Kujenga uhusiano kati ya watanzania
wa ughaibuni na wale wa nyumbani
• Kuinua vipaji vya wasichana
• Kutangaza nchi yetu, kiutamaduni na kiutalii.
• Kutangaza na kutoa ajira kwa wasanii
• Kuelimisha na kuburudisha jamii.
maelezo zaidi piga simu :
+ 49 174 456 565644
+49 1520 588 0836
No comments:
Post a Comment