Chonde, DECI iwe
mwanzo wa mwisho
na John Bwire
KWA karibu mwezi mzima sasa suala la Kampuni ya Development of Entrepreneurship for Community Initiative (DECI) inayodaiwa kuendesha upatu uliopigwa marufuku limekuwa gumzo kubwa nchini.
Suala hilo limekuwa likichukua sura mpya karibu kila siku. Licha ya viongozi wa kampuni hiyo kuanza kukamatwa, juzi Jumanne Polisi walipiga marufuku wanachama wa DECI kukusanyika katika ofisi za kampuni hiyo, Mabibo mjini Dar es Salaam…bofya na endelea>>>>>
No comments:
Post a Comment