Reginald Mengi ajitoa
mhanga kwa mafisadi
MFANYABIASHARA maarufu nchini, Reginald Mengi jana aliamua kujitoa muhanga alipotangaza majina ya wafanyabiashara watano wenye asili ya Kiasia ambao anadai kuwa ni mafisadi papa wanaoiba mabilioni ya fedha za wananchi na kutaka wachukuliwe hatua kwa madai kuwa wataiyumbisha na kuitingisha nchi…bofya na endelea>>>>>
1 comment:
Mr Mengi unaonekana huna zaidi ya wivu wa kibiashara, hao wote uliowataja ni wazi wanaeleweka ni wapinzani wako kibiashara, mbona hukuwataja wengi tu au wao wamechukua haki zao.
Usitake kujifanya hakimu mzuri wa kutoa hukumu, kemea aliyofanya Mkapa,Cheo, na wengine wafsadi usichague, hapo inaonyesha umejaribu kuingiza ukabila na si lolote.
Post a Comment