Saturday, April 18, 2009


Genge la wahalifu wa

kusafirisha binadamu

laibuka 



Na Salma Said,Zanzibar

 

GENGE la kihalifu linalodaiwa kusafirisha vijana kutoka Tanzania na kuwapeleka Israel kwa ahadi ya kuwapatia kazi na maisha bora, lakini badala yake kuwatumikisha kwenye shughuli mbalimbali na kuwatelekeza, limeibuka visiwani hapa.

Tayari vijana watano wa Zanzibar wamenusurika kufa baada ya kushambuliwa na askari wa Israel katika mpaka wa Misri wakati wakijaribu kuvuka kuingia Israel.

Mmoja wa vijana hao, Abdul Mohammed aliiambia Mwananchi katika mahojiano maalumu kuwa amekumbana na mazingira hatarishi ambayo hakutegemea kukutana nayo maishani mwake… bofya na soma zaidi>>>>>


No comments: