Tuesday, April 28, 2009

Mtoto wa miaka

Miwili atibiwa

Kwa bombo la nguruwe



Mtoto wa miaka miwili anayeishi Revetal, mkoa wa Vestfold amelazwa hospitali kwa kudhaniwa kushikwa na bombo la nguruwe. Ndugu za mtoto huyo wamewekwa kwenye karantini nyumbani kwao. Mtoto huyo na familia yake wamerudi kutoka Mexico walikokuwa kwenye likizo linaripoti gazeti la mkoa liitwalo Tønsbergs Blad.

No comments: