Friday, April 10, 2009

Rais Evo Morales

wa Bolivia agoma na

kushinda na njaa


Rais Evo Morales amegoma na kukaa na njaa.


Rais Evo Morales wa Bolivia amegoma na kushinda na njaa kupinga kitendo cha wapinzani kusitisha mswada uliopelekwa Bungeni na serikali yake wa kuwapa wazawa wa Bolivia, haki zaidi. Rais Morales mwenyewe ni mzawa wa Bolivia. Wapinzani wamepinga mswada huo ambao ungewapa wazawa Wabunge 14 wa ziada na hiyo ingefanya chama cha Rais Morales kuwa na Wabunge wengi kwenye Bunge la nchi hiyo.


No comments: