Bethi ov Desi ende Dethi!
Zamani enzi hizo za naintini sikste kweusi, watu wanaamini walikuwa wakiishi maisha mazuri tu kwa kulima na kula vitu orijino kutoka shambani. Wakati huo hakukuwa na haja ya saa za kula, bali ukiingia porini ukayakuta matunda yamejiivia mtini au yamedondoka chini, basi kama si brekifasti basi ni lanchi hapo hapo.
Matunda yalikuwa chekwa, na yaliiva pamoja na kuonekana kama maua mitini, hivyo ukishalichuma au kuliokota chini, hakukuwa na sheria mnazojitungia sasa za kuosha kabla hujala, eti kwa sababu ya kipindupindu! Hakukuwa na sheria ooh ukitoka chooni nawa kabla ya kula! Enzi hizo yatoke wapi haya...bofya na endelea>>>>>
No comments:
Post a Comment